NikkwaPili Ft Joh Makini X S2kizzy - Hesabu - Paris Empire Tanzania

Breaking

Follow us

Paris Empire

Jumamosi, 31 Machi 2018

NikkwaPili Ft Joh Makini X S2kizzy - Hesabu

  • Kutoka Weusi Kampuni sasa ni zamu ya Nikki wa Pili ametuletea video ya ngoma yake mpya inaitwa ‘Hesabu’ amempa shavu kaka yake Joh Makini na S2kizzy, Director ni  Jowzeey. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama pia usisahau kuweka comment yako.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni